YANGA 3-0 AZAMU UWANJA WA TAIFA LEO SPT 14 LEO

erastoboy.blogspot.com

erastokambona

Ikiwa pazia la ligi kuu Tanzania limefunguliwa leo kwa mchezo mmoja uliochezwa leo katika uwanja wa taifa dar es salaamu , mchezo wa ngao ya jamii Kati ya azamu fc Na Dar young africa uliochezwa leo umeisha kwa yanga kushinda magoli matatu kwa bila 3-0, wafungaji leo ni Gelson jaja 65,75 alipachika magoli mawili katika mchezo wa leo na goli la tatu likiwekwa kimyani na mshambuliaji matata kutoka tanzania Saimon msuva ,ni goli la kipekee alilofunga na la ushindi hadi mwisho wa mchezo yanga 3 azamu 0  ,tia coment yako hapo chini mdau kwa kile ulicho kiona.10653313_793418844033984_3422381850682405371_n

View original post

Kuwa wa kwanza kuona picha za shilole hapa akiwa katika utengenezaji wa video yake mpya ” NAMCHUKUA” Tazama click hapo chini uzitazame.

Shilole yupo nchini kenya anaandaa video yake mpya ” NAMCHUKUA” taarifa ambazo zimetufikia hivi punde ni kwamba shilole yupo katika harakati za mwisho kushuuti ngoma yake hiyo mpya ” NAMUCHUKUA” ndo jina ambalo shilole amelipa ngoma yake hiyo mpya , mpenzi ,shabiki wa shilole kaa taayari kupokea kazi mpya kutoka kwa shilole, pia naomba mpenzi msomaji kukuonesha baazi ya picha za shiole akiwa katika utengenezaji wa video ya ” NAMCHUKUA” tazama hapa chini.null